Sunday, May 30, 2010

marathi

marathi ni kitu ninachitajika kipewe utatuzi mapema, lakini baadhi ya wagonjwa hukaa mda mrefu hospitalin kutokana kujihusisha na ubadilishanaji wa taarifa mbalimbali zikiwamo za machungu ya mapenzi nahivyo kupelekea kupata presha

technologia

matumizi ya technologia ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu.

tupo pamoja

bazil akimshirikisha jambo, rafiki yake, wakati wa wikiend

chakula

chakula cha Ndizi ni miongoni mwa vyakula vinavyopatikana kwa wingi mkoani kilimanjaro
Mlima kilimanjaro ni miongoni mwa mlima mrefu duniani kama unavyoonekana.

waeshimiwa

welcome to university of Dodoma